Education

Mwongozo Wa Kigogo Pdf Notes Download – Uchambuzi wa Tamthilia ya Kigogo

By  | 

Download mwongozo wa kigogo pdf at the end of the article
mwongozo wa tamthilia ya kigogo
kigogo summary
kigogo notes
kigogo set book
kigogo mwongozo
uchambuzi wa riwaya ya kigogo
“mwongozo wa kigogo notes”
download mwongozo wa kigogo
wahusika wa tamthilia ya kigogo
kigogo summary notes
maudhui ya kigogo
maudhui katika kigogo
kigogo tamthilia pdf
maudhui ya tamthilia ya kigogo
sifa za wahusika katika tamthilia ya kigogoDescription

ANWANI YA TAMTHILIA.
Kigogo ni mtu mwenye madaraka makubwa kiutawala.
Majoka anatumia madaraka yake kulaghai wananchi, anachukua vilivyo vyao.
Anatangaza kipindi cha mwezi mzima cha kusheherekea uhuru kutumia madaraka aliyonayo.
Majoka anafunga soko la Chapakazi ili sehemu hiyo ajenge hoteli ya kifahari kwa kutumia madaraka aliyonayo.
Anapandisha bei ya chakula katika kioski kwa vile ana madaraka.
Majoka anatumia mamlaka yake kumteka na kumtia ndani Ashua.Anamtendea ukatili, Ashua ana majeraha kutokana na kichapo.
Majoka anapanga kifo cha Jabali, mpinzani wake. Anampangia ajali na kuangamiza wapinzani wake pamoja na chama chake kwa kutumia mamlaka yake..
Majoka anapanga kutumia mamlaka yake kuzima uchunguzi wa Tunu kuhusu kifo cha Jabali.Kigogo – Maudhui

Baadhi ya maudhui yanayojitokeza kwenye tamthilia hii ni kama vile:
1. Uongozi mbaya ambao unadhihirika kupitia kwa Majoka kulifunga soko la Chapakazi kwa madai kuwa Ni chafu, kumbe ilikuwa Ni njama ya kuinyakua ardhi hiyo.
– Uongozi wake unafungulia Biashara ya ukatajo miti, Jambo linalosababisha ukame.
– uongozi wake unampa Mama pima kibali Cha kuuza pombe haramu inayowua na kuwapofusha vijana.
– Anatumia hela mikopo kwenye miradi isiyokuwa na manufaa kwa Wanasagamoyo kv; kuchonga kinyago.
– anawauzia wanafunzi dawa za kulevya “sumu ya nyoka’ Jambo linawafanya kutofuzu, wanakuwa makabeji.
– Anawaua wapinzani wake kama vile Jabali.
– Anaifunga runinga ya Mzalendo kwa kupeperusha maandamano ya kina Tunu.
2. Ujinga
– Anatangaza kipindi cha mwezi mzima wa Mapumziko.
– Uongozi wake unajivunia kuwa na kampuni kubwa ya kutengeneza sumu ya nyoka barani Afrika. dawa hizo zinamuua mwanaye Ngao Junior.
– Asiya anamgawia ngurumo uroda ili amsaidie kupata kandarasi ya kuoka keki ya Uhuru.
– Majoka anawaita wanasagamoyo wajinga.
– Boza na Kombe wanaparamia masazo ya keki ya Uhuru bila kutambua kuwa ilikuwa imeliwa kwingine.
– Mama pima anawauzia wenzake pombe haramu inayowaua na kuwapofusha.
3. Ufisadi
– Majoka anainyakua ardhi ya soko la Chapakazi na kumtengea Kenga kipande.
– Majoka anataka Ashua amhonge kwa uroda ndipo amsaidie chakula.
– Uongozi wa Majoka unawanunulia vijana pombe ili kuunga mkono.
– Mama pima anamhonga Ngurumo leave uroda ili amsaidie kupata kandarasi ya kuoka keki ya Uhuru.
– Mshauri mkuu wa Majoka, Kenga Ni binamu yake.
4. Ukatili
– Majoka anamuua Jabali mpinzane wake wa awali.
Majoka anamfungia Ashua kwa madai ya kuzua fujo kwenye ofosi ya umma.
-Majoka analifunga soko la Chapakazi lililokuwa likitegemewa na Wanasagamoyo.
– Majoka anaeatuma majambazi kumuua Tunu, lakini wanaishia kumvunja tu mguu.
– Majoka anaamuru Askari kuwafyatulia waandamanaji risasi na kuwaua.
– Baada ya kulifunga soko Majoka anapandisha Bei ya chakula maradufu katika kioski Cha kampuni yake.
Yapo mengi kama vile: usaliti, nafasi ya mwanamke, nafasi ya vijana, ulevi, umaskini, ukiukaji wa haki, elimu, ukabila miongoni mwa mengine mengi. Jihisi huru kuyajadili hapa…

 
NAFASI YA MWANAMKE
1. Mwanamke ni katili-
Mamapima anawauzia wanasagamoyo wenzake pombe haramu inayowaua na kuwapofusha Wengine.
2. Mwanamke ni mwenye mapinduzi
Tunu anaongoza harakati za mapinduzi dhidi ya Uongozi dhalimu wa Majoka kwa ushirikiano wa Sudi.
3. Mwanamke ni msomi
Tunu Ana shahada na uanasheria inayomwezesha kutetea haki za Wanasagamoyo dhidi ya Uongozi dhalimu wa Majoka.
Ashua pia Ana shahada ya ualimu lakini anauza maembe sokoni Licha ya kupewa kazi kwenye shule za Majoka and Majoka Academy anazodai Ni za kihuni.
4. Mwanamke ni Jasiri
Licha ya kuvunjwa mguu, Tunu anaendeleza mapinduzi Hadi anafanikiwa kumwondoa Majoka mamlakani.
Pia anafahamu ukatili wa Majoka lakini anamweleza waziwazi kuwa watalipa kila tone la damu walilomwaga Sagamoyo.
5. Mwanamke ni mwenye wivu
Husda anapigana na Ashua ofisini mwa Majoka akidai kuwa amekuja kumnyanganya mume.
6. Mwanamke ni Mwasherati
Mamapima anamgawia ngurumo uroda ili amsaidie kupata kandarasi ya kuoka keki ya Uhuru
7. Mwanamke ni Mwenye uchu
Husda anapomwona Chopi, anaanza kutembea kwa maringo huku akionyesha macho ya uchu.
TUENDELEZE MJADALA…. ZIPO TELE

Download Mwongozo wa tamthilia ya kigogo

17 Comments

 1. Zakaria

  February 15, 2018 at 9:56 pm

  Woow amazing notes

 2. Leaticiah

  February 24, 2018 at 9:49 pm

  i appreciate the notes, they are realy helpful

 3. kelvin Bahati

  February 28, 2018 at 8:13 pm

  wow its nice

  • xyro

   March 27, 2018 at 2:40 pm

   congrats

 4. MISS FATU

  April 17, 2018 at 2:59 pm

  mmmmh nyce notes but elaborate further

 5. daveh

  April 18, 2018 at 4:31 am

  notex r very xweet men

 6. samu

  April 19, 2018 at 11:12 am

  nice and summerised notes and i like them…

 7. HE SC PJR

  April 26, 2018 at 8:47 pm

  You just made my homework ten times easier….thanks!!

 8. maxon k kithinji

  April 29, 2018 at 10:12 pm

  wow i like it itz that much perfect

 9. vejolyne nanjala

  May 6, 2018 at 1:05 pm

  congrats

 10. Akesa samuel

  May 31, 2018 at 8:17 pm

  Haa! Poulne kea kwa kweli unaweza hasa viongozi wetu ni majoka tu

 11. Anne Muchiri

  August 30, 2018 at 1:23 pm

  need mwongozo wa kigogo that is summary

  • online

   August 31, 2018 at 11:40 pm

   Hi, Anne you can use the link below the article to download full notes. Thanks.

 12. asha

  October 5, 2018 at 8:39 pm

  Help me find best ‘kigogo’sumarry

 13. Senso Vincent

  October 25, 2018 at 12:25 pm

  Thanks xn kw noter,waxee w Kubweye School hizi ndo noter poa xana.

 14. Tracey

  December 5, 2018 at 1:05 pm

  Nice notes really helpful

 15. Kyle

  December 30, 2018 at 10:52 am

  I cant understand too long

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.